Dada zake Masagisa wanamuonea wivu kwa ajili ya pendo kuu la wazazi kwake. Wanaamua kumtesa kwa kumuacha katika msitu wenye sifa ya makazi ya mazimwi. Masagisa atajimudu?