Je, unajua jinsi paka alianza kuishi nyumbani? Hadithi hii ya paka na mwanamke inatusimulia namna paka alivyotoka msituni na kuanza kuishi nyumbani. Soma upate uhondo wake.