Lona ana kitu anataka kumwonyesha nyanya. Kitu hicho kinamtoa nyanya jasho. Lona anakipenda na kucheza nacho. Kitu hicho ni nini kinamtoa nyanya jasho hivyo? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma.